ABDULKARIM SUMA





Wednesday, December 11, 2013

Habari Zilizotufikia: MZEE SMALL hatunae tena duniani.

Mzee-Small2
Habari nilizozipata kutoka hosp ya Amana iliyopo Ilala ni kwamba yule mchekeshaji mkongwe kutoka Tanzania anajuliakana kwa jina la Mzee Small amefariki
dunia usiku huu. Kupitia mchekeshaji Kinyambe habari zinasema kuwa msiba utakuwa Tabata Kimanga Magengeni.
Baada ya kupata taarifa hizo nikampigia jirani wa Mzee Small ambaye alikuwa yupo pale Amana Hosp ili kujua ukweli kwasababu yeye ndio anaishi Tabata na alikuwa anamfuatilia kwa ukaribu.

0 comments:

Post a Comment