ABDULKARIM SUMA





Wednesday, December 11, 2013

Hapa kuna video mpya ya mkongwe R Kelly – “Cookie” miaka 18+

r-kelly-cookie-video

Wakati kwenye flash yangu moja ya nyimbo zilizopo ni pamoja na single mpya ya huyu mkali wao inaitwa
‘Sex genius’ napewa info kwamba album mpya ya R Kelly “Black Panties” imetoka December 10 2013 ambapo saa chache zilizopita R Kelly ametoa video ya wimbo ambao unapatikana kwenye hiyo album.
Video yenyewe ndio hii hapa chini ila ina maneno ambayo haijaeditiwa hiyo ni tahadhari tu kwako.

0 comments:

Post a Comment