ABDULKARIM SUMA





Wednesday, December 11, 2013

Picha 10 za Ay, FA, Ommy Dimpoz na wengine studio kwa Oskido South Africa.

s6Time yoyote kutoka sasa unaweza kusikia sound ya kolabo zilizofanyika Johannesburg South Africa siku kadhaa zilizopita baada ya
mastaa hawa wa bongo kukutana na vichwa vingine vya muziki kwenye studio ya msanii mkongwe Afrika Kusini aitwae Oskido ambae aliwaalika kwenye studio ya nyumbani kwake.
Aliamua kumshirikisha Ommy Dimpoz kwenye single mbili zilizoanza kufanya siku ya kwanza tu alipokutana nae na kisha baadae kina Ay na FA wakaianza kolabo nyingine ambayo unaambiwa inahusisha vichwa kadhaa kutoka Kalawa Jazmee Studios.
s1Ay akiwa na Jose Hendrix mshindi wa shindano la vipaji vya muziki nchini Congo DRC pamoja na mwimbaji na mwandishi Lando ( @Landomusiq )
s2Oskido ( @Oskidoibeliev ) na @Ommy Dimpoz studio.
s12Baadhi ya wakali wa hiphop ambao utawasikia kwenye single moja na Ay na FA ni pamoja na Ab Crazy na King Jay Beatz.
s13
s14
s15
s9
s10
s5
s4
s8
s3
s11

0 comments:

Post a Comment