ABDULKARIM SUMA





Friday, January 10, 2014

JUSTIN BIEBER AMEFARIKI? SOMA NINI KINACHOENDELEA

Justin Bieber Dead
Leo katika mtandao wa twitter umeshtusha watu wengi sana hasa mashabiki wa Rapa Justin Biber baathi ya watu wengi wamepost ujumbe ambao ni wa kushtusha wakidai justin Biber
amefariki dunia kwa mujibu wa rapa huyo amesema yeye ni mzima wa afya wala ana tatizo lolote ameyasema hayo akiojiwa na kituo kimoja cha huko Marekani 
Baathi ya mashabiki wapo waliodai amepata ajali na gari aina ya ferrari wapo waliodai anaumwa hizo hapo chini ni moja ya twits walizotuma watu kuhusu jambo hili







0 comments:

Post a Comment