Mr Flavour ni miongoni mwa Wasanii wachache wa Nigeria ambao wamewahi kualikwa na kuja kufanya show nchini Tanzania, time hii ametuletea video yake mpya ambayo ndani yake
anaonekana Dillish ambae ni mshindi wa shindano la Big brother Africa 2013.
Video inaitwa ‘Ikwokrikwo’ na imefanywa nchini South Africa chini ya yuleyule mkali Clarence Peters ambae pia ndio alieifanya video ya Diamond na Davido.
0 comments:
Post a Comment