ABDULKARIM SUMA





Monday, January 13, 2014

Huu ndo wimbo mpya ya Mwasiti baada ya kimya kirefu

Baada ya kimya cha muda mrefu kupita sasa hii ndo ngoma mpya ya Mwasiti aliyoitoa leo,pata nafasi ya kuusikiliza wimbo huu uliofanywa studio za Sorround Sound Records na Producer ni Tuddy Thomas.
Bonyeza play hapo chini kuusikiliza.

0 comments:

Post a Comment