ABDULKARIM SUMA





Wednesday, January 29, 2014

Breaking:Ghorofa ya Gms Kariakoo yawaka Moto muda huu.

Taarifa za awali amabzo hazijathibitishwa rasmi lakini zinadai kuwa kuungua kwa ghrofa hili kumesababishwa na short ya umeme kwa sababu sehemu kunakowaka moto kuna transformer


Ghorofa hili Lipo maeneo ya Kamata mkabala na Bavaria ni jengo la Gms,Muda uliaoanza kuwaka ni saa 8 mchana mpaka sasa ni zaidi ya saa1 moto unaendelea kuwaka.

0 comments:

Post a Comment