Kama ilivyokua kwa mara ya kwanza picha ya mtoto North West ilionekana kwenye The Ellen show.
Mara nyingine tena picha za mtoto huyo zimeonyeshwa baada ya mama yake Kim Kardashian kwenda kwenye interview.
Moja ya picha ambazo zinasambaa hivi sasa kwenye mtandao ni ambayo Kanye West amembeba mtoto North West.
0 comments:
Post a Comment