ABDULKARIM SUMA





Wednesday, January 1, 2014

TMK WANAUME FAMILY WAFUNIKA SHOO YA MWAKA MPYA 2014 DAR LIVE

 
Kundi la TMK Wanaume Family likiwapagawisha mashabiki wa Dar Live kwa burudani.
MwanamuzikwaWA kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' akiwaatisha mashabiki.
Mwanamuziki YP naye akiwapa burudani mashabiki wa Dar Live
Nyomi ikifurahia burudani iliyokuwa ikitolewa na TMK Wanaume Family.

0 comments:

Post a Comment