ABDULKARIM SUMA





Friday, February 21, 2014

Exclusive:Sikiliza wimbo mpya wa Mb Dogg unaoitwa Umenuna

dog
Unapolitaja jina la Mb Dogg au Dogg Man tayari unajua ni nani anayezungumziwa ambaye kwa kipindi cha nyuma hit kama Latifa,Mapenzi kitu gani,Inamaana na zingine nyingi zilimueka kwenye headline na kuzungumziwa kila mara.

Kimepita kimya kirefu bila kusikika,na wengi hawajaju nini kilichomfanya awe kimya,kwa sasa karudi na jibu la ukimya wake kwa wimbo wake huu mpya unaoitwa Umenuna.

0 comments:

Post a Comment