Ni
zaidi ya wiki mbili toka huu mzigo uingie kwenye himaya ya Youtube
lakini bado imekua ni single inayozidi kukua kila siku, ukiitazama mara
moja unatamani kuitazama tena, ni yuleyule Wyre mkali wa Kenya ambae ana
historia ya kumiliki chati za muziki hata kwa nchi jirani na yake.
0 comments:
Post a Comment