ABDULKARIM SUMA





Sunday, February 2, 2014

HI NI ZAMBI CHEKI PICHA ALICHOKIFANYA JUSTIN BIEBER KWA HUYU MSICHANA


Justin Bieber amepigwa picha akibusu ziwa la binti anayesemekana kuwa ni  stripper na picha hii imeonyesha sura ya kijana mwingine anayejulikana kama  Khalil Sharieff  ambaye ni rafiki wa
karibu wa Justin Bieber.
Binti huyu mburudishaji wa vijana kwenye shughuli zao inasemekana alipewa kazi hio maalum kwa ajili ya pati ya  Justin na marafiki zake huko L.A na wakati wa sherehe hio Justin hakutaka kukosa nafasi ya kujua utamu wa ziwa la binti huyo anayesemekana kuwa na umri mkubwa zaidi ya Bieber
 bb

0 comments:

Post a Comment