Wameshatua
Ndani ya SOKOINE muda huu kuungana na Watanzania wenye akili timamu
wanaitambua kuwa Chama cha Siasa chenye maslahi ya Umma ni CCM.
Diamond, Slim omary Johari kajala Singo mtambalike Juma Chikoka JBHaji Adam na wengine wasanii wao walishajiunga CCM siku nyingi.
0 comments:
Post a Comment