ABDULKARIM SUMA





Monday, February 10, 2014

KAMA UKUWAI KUJUWA MIJI 20 TAJIRI DUNIA HI HAPA


Kwamujibu wa takwimu ya dunia jiji la ishirini kwa uzuri duniani ni Washington DC.
Namba 19 ni Tokyo
Mji wa Australian imechukua nafasi ya 18
Namba 17 na Amsterdam,
Namba 16 niHonolulu iliyoko US 
Namba 15 ni Stockholm, 
Namba 15 ni Netherlands, 
Namba 14 ni Brisbane,
Namba 12 ni Hong Kong, 
Namba 11 ni Sydney occupies 
Namba 10 niCopenhagen,
Namba 9 ni San Francisco, 
Namaba 8 ni Paris, 
Namba 7 ni Singapore. 
Namba 6 Lausanne iliyoko ndani ya Switzerland. 
Namba 5 ni New York 
namaba 4 niZurich, 
Mji mwingine wa Swiss unaoitwa Geneva, umeshika namba 3
Nmaba 2 ni Norwegian capital of Oslo,
Na wakwanza ni London. 

0 comments:

Post a Comment