ABDULKARIM SUMA





Monday, February 10, 2014

JUSTIN BIEBER AMEINGIA KWENYE MAPENZI NA MWANAMKE MWINGINE UNAMJUA CHEKNI PICHA ZAKE HAPA

Katherine Gazda Justin Bieber Dating
Hapa atumuongelei Chentel Jeffries ambaye alikuwa na mahusiano nae nyuma kabla ya kuelewana na Selena gome'z sasa mkali uyo ambaye anakadiriwa kuwa
na mashabiki wengi hasahasa wa kike ambao wanamfanya kuweka mausiano na wasichana tofauti tofauti sasa anatoka na mrembo mwingine ambaye anayejulikana kama Katherine Gazda ambaye anayeonekana kwenye picha
Katherine-Gazda-gallery-14
                                    Katherine Gazda akiwa kwenye pozi matata
_Katherine-Gazda-gallery-4

Katherine-Gazda-gallery-13

0 comments:

Post a Comment