ABDULKARIM SUMA





Tuesday, February 11, 2014

Kuhusu kunusurika kuchomwa moto makao makuu ya Chadema Dar es salaam.

chdmUsiku wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelea Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea kwa moto baada ya
watu wasiojulikana kufanya jaribio la kulipua ofisi za makao hayo.
Hii ni video inayomuonyesha Katibu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa akielezea tukio hilo.

0 comments:

Post a Comment