ABDULKARIM SUMA





Wednesday, February 12, 2014

"Penzi" Quick Rocka Ft. Ben Pol Kutoka hivi karibuni

Quick Rocka anatarajia kuachia wimbo wake mpya utakao tambulika kwa jina la "Penzi" hivi karibuni, Kwenye wimbo huu Quick amemshirikisha mkali wa RnB Ben Pol huku track ikiwa imepikwa kutoka studio ya A.M Records.

0 comments:

Post a Comment