ABDULKARIM SUMA





Friday, February 21, 2014

Show ya Jaguar iliyofanya mpaka hawa wakazimia

4Kutoka 254 kwenye ardhi ya Kenyata hii story inamhusu star wa single mpya ya Kioo ambayo wiki kadhaa aliingia kwenye headline na kuzungumziwa kuhusu video yake
ambayo ameshoot na wafungwa wa ukweli  na yeye akionekana kama mmoja wa wafungwa hao.
9
Sasa Hii imetokea Nakuru huko huko Kenya kwenye street bash moja hivi  ambapo moja ya wasanii waliopata mualiko wa kuperfoam siku hiyo na Jaguar nae alikuwa miongoni mwao.
Taarifa inasema ni show iliyohudhuriwa na watu wengi kwani inakadiriwa kuwa na zaidi ya watu elfu 7 siku hiyo ambapo baadhi yao walizimia na hii ni Mapenzi ya mashabiki kwa Jaguar ambayo kila siku yamezidi kukua na kuongezeka.
Miongoni mwa mashabiki hao Wengi  walizimia mara baada ya kumuona tu na Hiki ni kitu cha kipekee ambacho kilizoeleka kutokea kwa mastaa kama Michael Jackson,upande wa jaguar mashabiki wake huwaita wafuasi na sio mafans kama wanavyowaita wasanii wengine.
Angali picha hizi jinsi Jaguar anavyowapagawisha mashabiki wake.
11
10
7
6
3
5
1
8

0 comments:

Post a Comment