ABDULKARIM SUMA





Thursday, February 13, 2014

Updates, Kuhusu Wimbo Mpya Wa Young Killer “My Power”


Rapper Young Killer ametoa update kuhusu kazi yake mpya “My Power” kwa kusema kuwa ” Video inakamilika wiki hii na wakiridhika nayo itatoka kwanza video na
audio itafata, mpaka sasa tarehe ya kutoka kwa kazi hio haijafahamika”
Sammisago.com ilipata nafasi ya kujibiwa swali kuhusu maisha ya shule kwa sasa ya Msanii huyu Young Killer Msodoki na amefunguka kuwa ni mwezi na wiki chache sasa toka ameanza shule na ameshazoea maisha ya skonga na ametengeneza marafiki wapya shule kitu ambacho kimefanya maisha kuwa raisi zaidi darasani.

0 comments:

Post a Comment