ABDULKARIM SUMA





Thursday, February 13, 2014

Video Mpya Ya Y Tonny – Pendo Iko Hapa


Video ya Msanii aliyewahi kutingisha game la bongo fleva na wimbo wake wa Masebene “Y Tonny” ametoa video mpya ya wimbo wake wa Pendo na utaweza kuitazama hapa
Bure Kabisa Superman nakupa hio nafasi, Tupia Comment yako hapo chini kuhusu mtazamo wako.

0 comments:

Post a Comment