Nisher amechukua headlines za utengenezaji wa video za bongo sasa hivi kutokana na video kali kadhaa alizotengeneza mpaka sasa, taarifa tu ikufikie kwamba yeye ndio ameitengeneza hii video mpya ya Roma Mkatoliki ambayo unaweza kubonyeza play hapo chini uitazame kisha uacha maoni yako mtu wangu Roma na Nisher watapita hapa kuyasoma leo usiku.
Friday, November 1, 2013
Mara ya mwisho kuona video mpya ya Roma Mkatoliki ilikua lini? mpya ya ’2030′ iko hapa
Nisher amechukua headlines za utengenezaji wa video za bongo sasa hivi kutokana na video kali kadhaa alizotengeneza mpaka sasa, taarifa tu ikufikie kwamba yeye ndio ameitengeneza hii video mpya ya Roma Mkatoliki ambayo unaweza kubonyeza play hapo chini uitazame kisha uacha maoni yako mtu wangu Roma na Nisher watapita hapa kuyasoma leo usiku.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment