ABDULKARIM SUMA





Sunday, November 17, 2013

(New Audio) Don Kol Hombi ft. Chibwa & Alice - Tikisa Gambe.

Don Kol Hombi mdogo wa mwisho katika familia aliyotokea mwanamziki mkongwe wa Hip Hop Nchini PROF JAY pamoja na Black Rhino na Simple X. Katika familia hii ya mzee Haule huyu ndio mtoto wa mwisho na yeye akaona sio mbaya kufuata nyayo za kaka zake na huu ndio wimbo wake mpya unaoitwa TIKISA GAMBE akiwa amemshirikisha mwanadada Alice na mtu mzima Chibwa. Chukuwa nafasi hii kuusikiliza wimbo huu halafu unipe comment yako

0 comments:

Post a Comment