ABDULKARIM SUMA





Sunday, November 17, 2013

NEW TRACK: LAST WORNING FT JAMBO SQUAD NILIPOMKUTA DAR UJIO WAO MPYA

Baada ya kundi hili linalowakilisha kaskazini kuwabamba watu kwa nyimbo zao kathaa ikiwemo
fungulia mbwa, nyinda nyinda, mamangi wa kichaga sasa baada ya kudandia ndinga mpaka Arusha wameamuna kuachia mzigo wao mwingine unaojulikana kama nilipomkuta dar wakiwa wamewashirikisha manguli wa hip hop katuni Jambo Squad  ngoma hii itaumizwa na Quava Mnama, Inno Mtoa lock, Six chafu wakiwemo Jambo squad ndani

0 comments:

Post a Comment