ABDULKARIM SUMA





Monday, November 18, 2013

Picha 7 za hoteli mpya iliyojengwa katikati ya bahari Zanzibar


1 
Unaambiwa kinachoshindikana ni kumtengeneza binadamu mpya tu kwenye hii dunia, huko Pemba imezinduliwa hoteli mpya mwezi huu yenye vyumba 16 iitwayo The Manta Resort ikiwa
designed by Swedish company Genberg Underwater Hotels kwa mujibu wa CNN.
Yani ukiwa umelala chumbani unaona samaki kabisa kupitia madirisha ambapo gharama yake kulala kwa watu wawili ni dola za Kimarekani 1500 ambayo ni zaidi ya milioni mbili za kitanzania na kwa mtu mmoja ni $900 ambayo inagonga kwenye milioni moja na laki nne hivi.

2 

3 

4 

5 

6 

7
Hii ni karibu na Hoteli yenyewe.
Uko tayari kulala kwenye hoteli chini ya bahari?

0 comments:

Post a Comment