Hii hapa ndio teaser ya kazi mpya kutoka kwa Nay wa Mitego
Sio muda mrefu tangu video ya Salam zao itoke na Nay wa Mitego ametangaza tarehe atakayo toa kazi nyingine.
Hapa kuna picha ya teaser ya ngoma yake mpya na unapata nafasi ya kujua tarehe atakayoitoa
0 comments:
Post a Comment