ABDULKARIM SUMA





Monday, November 18, 2013

Wimbo mpya “Usione ukadhani” kutoka kwa Mansu Li akiwa na Nikki Mbishi pamoja na Belle 9

mansulee
Msanii wa Hiphop Mansu Li akiwa pamoja na msanii mwenzake wa Hiphop Nikki Mbishi ametoa wimbo mpya unaitwa “Usione ukadhani” na ndani yake kuna sauti ya mmoja ya wasanii bora wa RnB “Belle 9″.Unaweza kuusikiliza na ku-download hapa

0 comments:

Post a Comment