CHELSEA V/S ARSENAL WATOKA SULUHU BILA YA KUFUNGANA
Mabingwa hawa wa Uingereza wametoka suluhu bila ya kufugana ingawa kila timu ilicheza mchezo wa kusisimuwa kushambulia lango la timu pinzani mechi zimesitishwa hadi baada ya christimas bado ligi ni ngumu jwa kila timu
0 comments:
Post a Comment