hatharani siku ya kuachachia move hiyo kulikuja ubishani mkubwa hapo nyuma kidogo ukiusisha ni nani atakayechukua nafasi ya mkali Paul Walker kuna mashabiki walio mpendekeza justin biaber kurithi nafasi hiyo ila mashabiki wengi walikataa na kura nyingi ziliangukia kwa kakayake Paul Walker ambaye anayejulikana kama cody walker
Vin Diesel alitoa habari mzuri kwenye facebook tarehe 22/12/2014 yakwamba April 10, 2015 wataweza kuiachia move hiyo kwa mara ya kwanza
0 comments:
Post a Comment