Diamond ametumia siku ya leo Dec 20, 2013 kwenda kutembelea,kutoa zawadi na kula pamoja na watoto na walezi wa kituo cha watoto yatima huko Buguruni Malapa House.
Diamond anasema kwasababu huu ni msimu wa sikukuu na ameamua kuanza kusherekea na watoto hasa ambao wapo kwenye mazingira kama haya.
Ameongeza kwamba atakuwa anafanya hivi kwenye siku tofauti kwenye msimu huu wa sikukuu ili kuwapa faraja na pia kuwakaribisha watoto kwenye show maalum atakayowafanyia siku ya Christmas.
0 comments:
Post a Comment