ABDULKARIM SUMA





Thursday, December 19, 2013

Home sweet home: wale watu wa Mbea hichi ndicho atakachokifanya mkali huyu

Mwanamziki emmanuel simwinga a,k,a Izzo bizness anatarajia
kuwapa zawadi watu wake wa Mbea zawadi ya show kabambe itakayofanyika kwenye ukumbi wa BABAZ CLUB

Show hii mkali huyu ameiita home sweet hom kwakuwa ni zawadi kwa watu wake wa nyumbani show hii itafanyika tarehe 31/12/2013 kwa kiingilio cha 7000/= TU kazi kwenu watu wa mbea

0 comments:

Post a Comment