ABDULKARIM SUMA





Monday, December 23, 2013

Huu ndio ujio mpya wa last warning

Wakali hawa wa kaskazini wanaolisongesha gurudumu la mziki wa kaskazini baada ya
kuamishia virago vyao kwa DX kisu kikali sasa wanakuja na ujio wao mpya unaojulikana kama MACHALARI ambao utachiwa soon
STORI NA ABDULKARIM SUMA

0 comments:

Post a Comment