Hii ndiyo video ya msanii @barakah_daprince iliyoongozwa na Nisher.
Hii ni video mpya ya msanii mpya wa Tetemesha Entertainment aitwaye Barakah da Prince. Wimbo unaitwa JICHUNGE.
Video ilifanyika Dar na kuongozwa na director kutoka Arusha Nisher,Leo 10.03.14 ndio imeachiwa rasmi.
Bonyeza play kutazama.
0 comments:
Post a Comment