ABDULKARIM SUMA





Tuesday, December 24, 2013

CHELSEA V/S ARSENAL WATOKA SULUHU BILA YA KUFUNGANA

Mabingwa hawa wa Uingereza wametoka suluhu bila ya kufugana ingawa kila timu ilicheza
mchezo wa kusisimuwa kushambulia lango la timu pinzani mechi zimesitishwa hadi baada ya christimas bado ligi ni ngumu jwa kila timu 

0 comments:

Post a Comment